https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    CELINE DION AKANUSHA TAARIFA ZA KUIMBA WAKATI WA MAZISHI YA MUMEWE


    Mwanamuziki Celine Dion amekanusha taarifa kuwa ataimba kwenye mazishi ya mumewe Rene Angelil.

    Mwakilishi wa Dion amekanusha vikali uvumi huo kuwa ataimba katika kumuenzi mumewe huyo aliyedumunae kwenye ndoa kwa miaka 21.

    Hata hivyo msemaji wake huyo amekiri kuwa nyimbo moja ama mbili za Celine Dion zitapigwa kwa sauti ya chini wakati wa mazishi ya Rene Angelil.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CELINE DION AKANUSHA TAARIFA ZA KUIMBA WAKATI WA MAZISHI YA MUMEWE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top