Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani
(Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe
19 Febuari, 2016.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani
(Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge akiagana na Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden mara baada ya
kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Spika
wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden
waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na
Viongozi wengine Wabunge.
Spika
wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden
waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na
Viongozi wengine Wabunge.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge
kutoka Sweden waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Bw.
Kenneth Forslund. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.
Naibu
Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini
Bi Katarina Rangnitt aliyeongozana na Wabunge kutoka Bunge la Sweden
waliotembelea Ofisi za Bunge Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment