Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kulia) akiwa na
Ivone ‘Monalisa’ Cherry ambaye ameshiriki kucheza filamu iliyoshinda
tuzo ya Filamu Bora yaLugha ya Kiswahili Afrika inayoitwa Kitendawili.
Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kushoto) akiwa pamoja
na mshindi wa tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili AfrikaBw.Single
“Richie”Mtambalike baada ya kuwapokea leo jijini Dar esSalaam.Richie
amepata tuzo hiyo kupitia filamu ya Kitendawili ambayo amecheza
naYvone“Monalisa”Cherry.
0 comments:
Post a Comment