Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi
UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR
anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es
Salaam.PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment