https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MICHELLE OBAMA AWACHIA SINGO ALIYOWAHUSISHA WASANII WAKALI WAKIKE


    Wasanii wakiwemo Missy Elliott, Kelly Clarkson na Kelly Rowland wameshiriki katika singo ya msaada iliyoandaliwa na Mke wa rais wa Marekani Michelle Obama.

    Singo hiyo ya This Is For My Girls imeandikwa na mtunzi Diane Warren – ambaye awali aliandika nyimbo kali kama za I Don't Want To Miss A Thing na Un-Break My Heart.

    Michelle amesema singo hiyo ni jitihada za mpango wa Waache Watoto Wakike Wasome, ambao unalengo la kuimarisha idadi ya wastani wa wasichana waliosoma duniani.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MICHELLE OBAMA AWACHIA SINGO ALIYOWAHUSISHA WASANII WAKALI WAKIKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top