Wanawake wawili waliojitoa mhanga wameshambulia msikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria katika mji wa Maiduguri na kuwauwa waumini 22.
Mlipuaji wa kwanza alifanya shambulizi ndani ya msikiti, wakati wa pili akijilipua nje wakati manusura wakitoka nje na kukimbia.
Watu wengine 18 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo, jeshi la Nigeria limesema.

0 comments:
Post a Comment