https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANAMUZIKI ADELE AMEWASHUTUMU MAGAIDI KWA MAUAJI BRUSSELS


    Mwanamuziki Adele amewashutumu magaidi waliohusika na milipuko ya mabomu ya Ubelgiji, akiwa katika tamasha lake ukumbi wa O2 Arena jana usiku, huku mashabiki wake wakiwasha simu zao ukumbi mzima kuungana Jiji la Brussels.

    Adele alisitisha kwa muda kuimba Jijini London, wakati akiongelea kwa hisia kubwa tukio la milipuko ya Jiji la Brussels iliyouwa watu 34, na katika kuungana na wakazi wa jiji hilo la Ubelgiji.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANAMUZIKI ADELE AMEWASHUTUMU MAGAIDI KWA MAUAJI BRUSSELS Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top