https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    POLISI WA UBELGIJI WAKAMATA VITU HATARI KWENYE NYUMBA YA MAGAIDI



    Polisi nchini Ubelgiji wamepata msumari wa bomu, chemikali na bendera ya kundi la Dola ya Kiislam (IS) katika msako kwenye nyumba ya watuhumiwa wa ugaidi saa chache baada ya matukio ya milipuko ya mabomu iliyouwa watu 34, Jijini Brussels.

    Kupatikana kwa vitu hivyo kumepelekea polisi kufanya upekuzi kwenye majengo ya wilaya ya Shaerbeek kaskazini mashariki mwa Brussels, ambako watuhumiwa wawili wa mashambulizi ya Jijini Paris waliishi.
                   Wataalam wa upelelezi wa alama mbalimbali wakiendelea na kazi yao
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: POLISI WA UBELGIJI WAKAMATA VITU HATARI KWENYE NYUMBA YA MAGAIDI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top