https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS WA NIGER MAHAMADOU ISSOUFOU APATA USHINDI WA KISHINDO


    Rais wa Niger, Mahamadou Issoufou, amechaguliwa tena kwa muhula wa pili kwa kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa marudio uliogubikwa na utata.

    Tume ya Uchaguzi imesema rais Issoufou amepata zaidi ya asilimia 90 ya kura zote katika uchaguzi wa jumapili, ambao wapinzani waliususia.

    Mpinzani wake Mkuu, Hama Amadou, ambaye wiki iliyopita alisafirishwa kwa ndege kwenda Ufaransa kwa matatibabu amepata kura asilimia 8.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAIS WA NIGER MAHAMADOU ISSOUFOU APATA USHINDI WA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top