https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WABUNGE HUSSIN BASHE NA ZITTO KABWE WAJIUZULU NAFASI ZAO LEO RASMI NI BAADA YA TUHUMA ZA RUSHWA.


    Mbunge Hussein Bashe wa nzega Mjini alikuwa wa kwanza kuwasilisha barua yake kwa Spika wa bunge Job Ndugai na kutaka kujuizulu ujumbe wa kamati ili kupisha uchunguzi zaidi.
    Basha alisema kutokana na Tuhuma hizo.
    "Kutokana na tuhuma zilizokuwepo za rushwa dhidi ya Kamati ninayohudumu, leo nimemwandikia Mh Spika wa Bunge barua ya kujiuzulu kupisha uchunguzi"



    Nae Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe naye akaawasilisha barua kujiuzulu.

    "Kuna tuhuma za rushwa dhidi ya Kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika Kuomba Uchunguzi juu Ya tuhuma hizo na kwamba achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa. Nimejiuzulu Ujumbe wa Kamati ili Kutoa Nafasi Ya Uchunguzi Husika."

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WABUNGE HUSSIN BASHE NA ZITTO KABWE WAJIUZULU NAFASI ZAO LEO RASMI NI BAADA YA TUHUMA ZA RUSHWA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top