https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WATU WENGI WAHOFIWA KUFA KWENYE MILIPUKO NCHINI UBELGIJI



    Watu wengi wameuwawa au kujeruhiwa vibaya kwenye mashambulizi ya kigaidi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Brussels na kwenye stesheni ya reli, Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema. 

    Taarifa za awali zinasema jumla ya watu 28 wamethibishwa kuwa wamefariki dunia kufuatia mashambulio hayo.
    Milipuko milwili imelipuka katika eneo la abiria wa ndege wanaoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Zaventem.

    Saa moja baadae mlipuko mwingine ulitokea kwenye stesheni ya reli ya Maelbeek.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WATU WENGI WAHOFIWA KUFA KWENYE MILIPUKO NCHINI UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top