https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WEMA SEPETU NA IDRISS TENA,MOTO WAWAKA UPYA,MREMBO DELIAH CHANZO CHA YOTE

    Karbu nikujuze stori zilizo tokea instagram, siku chache mshindi wa Big Brother Idriss Sultan aliweka picha mtandaoni katika ukurasa wake wa intagram akiwa na mrembo mwanamitindo Deliahipupa  ikionekana kutoa sapoti kwenye Kenya Blog Award  Nakuandika hivii "
    As i am forced to say with a gun on my head Please go to @buoart link on his bio and vote for him as best photography blog πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ˜ŽπŸ˜Ž cc: @deliahipupa"

    Lakini maneno ya picha hayankuwa na tatizo bali picha hii kama ilimpa Wema Sepetu Wivu Hakuipenda Nakuomba mtu atakayeweza kumtoa mwanadada huyo amwache idris peke yake alafu amtumie picha hiyo.
    Wema Sepetu alijaribu ku Crop picha hiyo nakumwacha Idris Pekee lakini mwanadada  Deliahipu alionekana vazi lake kwa mbali 

    Done juhudi za Mrembo wema sepetu zilifanikiwa na aliandika hivii "So Hubby decided to edit it for me mwenyewe😌... My Man....!! 😌Gnyt now...!πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹" katika picha iliyoko hapo chini 







    Unazani Wema Sepetu ana wivu sanaa na Idris karibu tuachie maoni yako hapo chini kwa Comment
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WEMA SEPETU NA IDRISS TENA,MOTO WAWAKA UPYA,MREMBO DELIAH CHANZO CHA YOTE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top