AJALI: Basi la HBS limepata ajali eneo la Maji Mazuri barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya. Watu 4 wamefariki na 29 wamejeruhiwa. -Basi hilo lilikuwa linaelekea mkoani Tabora
Item Reviewed: AJALI: Basi la HBS limepata ajali eneo la Maji Mazuri barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya. Watu 4 wamefariki na 29 wamejeruhiwa. -Basi hilo lilikuwa linaelekea mkoani Tabora
Rating: 5
Reviewed By: Unknown
0 comments:
Post a Comment