https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Joka lenye vichwa viwili. Nyoka huyu alipigwa picha



    Joka lenye vichwa viwili. Nyoka huyu alipigwa picha na Jason Talbott baada ya kuonekana na marafiki zake mwituni Kansas, Marekani. Wakati mmoja, kichwa kimoja cha nyoka huyo kingeshambulia kingine. Lakini vilihitajika kufanya kazi sambamba kumuwezesha kutambaa. Picha/Jason Talbott/Caters News
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Joka lenye vichwa viwili. Nyoka huyu alipigwa picha Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top