https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, Sinkala, Apata Ajali na Kufariki


    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu. Lakini amefariki dunia muda mfupi uliopita wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!
    Amekimbizwa hospitali lakini kafariki dunia usiku huu.

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, Sinkala, Apata Ajali na Kufariki Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top