https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Picha 6 za Muonekano wa Daraja la Kisasa la Kigamboni Litakalozinduliwa Leo na Rais Magufuli

    Daraja la kisasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kulizindua rasmi daraja hilo  leo Jumanne Aprili 19, 2016. 
    Akina mama na watoto wao wakilishangaa daraja hilo la kisasa
    Barabara inayoelekea kwenye daraja hili
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Picha 6 za Muonekano wa Daraja la Kisasa la Kigamboni Litakalozinduliwa Leo na Rais Magufuli Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top