Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge baadhi ya Wabunge walianza kupiga filimbi na zikasababisha kelele nyingi mpaka Spika kulazimika kumuomba Rais asiendelee mpaka awatoe kwanza Wabunge hao saba akiwemo mbunge wa UngunjaOpiyo Wanday.
Picha zote kutoka CITIZEN TV Kenya.
0 comments:
Post a Comment