https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Tigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake


     Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni  Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.

     Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,  Mkadam Khamis Mkadam, Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja,akimkabidhi Bwana Nadim Ibrahim mkaazi wa Malindi zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.




    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Tigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top