https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VIDEO: Mwili wa Papa Wemba ulivyopokewa uwanja wa ndege Congo DRC

    Congo DRC na Afrika kwa ujumla iko kwenye msiba wa mwimbaji mkongwe mzaliwa wa Congo DRC Papa Wemba ambaye alifariki alipoanguka akiwa anatumbuiza jukwaani huko Abidjan Ivory Coast, mwili wake ulisafirishwa mpaka nyumbani Kinshasa Congo DRC tayari kwa maziko kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VIDEO: Mwili wa Papa Wemba ulivyopokewa uwanja wa ndege Congo DRC Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top