Kwenye maziko ya Marehemu Kabwe yaliyofanyika kata ya Mamba Mpinji wilayani Same Kilimanjaro viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria akiwemo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadick, kulikua na Mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam pia Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene aliyemuwakilisha Rais Magufuli.
AUDIO: Alichosema Ole-Sendeka kwenye mazishi ya Kabwe na kuhusu kusimamishwa kwake kazi
Kwenye maziko ya Marehemu Kabwe yaliyofanyika kata ya Mamba Mpinji wilayani Same Kilimanjaro viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria akiwemo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadick, kulikua na Mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam pia Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene aliyemuwakilisha Rais Magufuli.

0 comments:
Post a Comment