https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

    Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na waulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza

    Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top