https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    GAUNI LA MKE WA GEORGE CLOONEY, AMAL CLOONEY LATIBUA MAPOZI

    Mwanasheria wa haki za binadamu, Amal Clooney, ambaye ni mke wa muigizaji filamu George Clooney amepata wakati mgumu pale gauni la mkia wa tausi lilipomletea shida kwenye zulia jekundu.

    Amal Clooney alipatwa na kadhia hiyo akiwa kwenye zulia jekundu kwenye tamasha la filamu la Cannes, ambalo lilionyesha kwa mara ya kwanza filamu ya mumewe George iitwayo Money Monster.
            Amal Clooney akiwekwa bize na gauni lake baada ya kumuharibia mapozi
    Muandaaji wa tamasha la filamu la Cannes akitoa msaada wa kunyanyua mkia wa gauni la Amal
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: GAUNI LA MKE WA GEORGE CLOONEY, AMAL CLOONEY LATIBUA MAPOZI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top