Sasa
tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz
watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond
Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend
wake mpya Idris.
Watu wengi wamekua na wamekua
wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa
na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Mskie hapa Wema Sepetu
akijibu swali hilo
Tazama Video:



0 comments:
Post a Comment