Mastaa na wapenda fasheni wamefika Cuba kushuhudia kampuni ya Chanel ikionyesha mavazi yake Jijini Havana hii leo.
Mbunifu Mkuu Karl Lagerfeld amesema mavazi yote yaliyoonyeshwa yameshonwa kutokana na hisia za kitamaduni.
Wanamitindo wakionyesha mavazi yaliyobuniwa na Chanel Jijini Havana
Wanamitindo wakicheza huku wakiwa wamevalia mavazi ya Chanel
Muigizaji filamu nyota Vin Diesel akionyesha ishara ya upendo kwa Cuba wakati wa onyesho hilola mavazi ya Chanel






0 comments:
Post a Comment