May
27 2016, aliyekuwa mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na
Balozi wa Japan hapa nchini, Masahau Yoshida.
Kupitia
ukurasa wake wa Facebook, Lowassa ameandika; “Nimekutana na rafiki yetu
Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida, nikiwa pamoja na viongozi
wote wa wilaya yetu ya Monduli.
“Mbali
ya kumshukuru Balozi Yoshida kwa misaada mbalimbali wanayoitoa ila
zaidi tulijadiliana jinsi gani ya kufanya muendelezo na mikakati ya
kuchukulia misaada hii kama nyezo za kufikia malengo ya maendeleo na sio
njia ya utegemezi kiuchumi”- Lowassa





0 comments:
Post a Comment