Najua mtu wangu wangu huwa unapenda soka na kila weekend hupendi upitwe na mechi kali, hususani zinazohusisha mastaa wako unaowakubali kama Neymar, Lionel Messi naCristiano Ronaldo, huenda hii hukuwahi kukutana nayo, naomba nikusogezee dakika 3 na sekunde 49 za ujuzi na njonjo za mastaa wako katika kuuchezea mpira.
MICHEZO VIDEO: TOP 20 ya Ball Control Skills za Lionel Messi, Ronaldo, Neymar na mastaa wengine
Najua mtu wangu wangu huwa unapenda soka na kila weekend hupendi upitwe na mechi kali, hususani zinazohusisha mastaa wako unaowakubali kama Neymar, Lionel Messi naCristiano Ronaldo, huenda hii hukuwahi kukutana nayo, naomba nikusogezee dakika 3 na sekunde 49 za ujuzi na njonjo za mastaa wako katika kuuchezea mpira.

0 comments:
Post a Comment