https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANAMKE AKAMATWA KWA KOSA LA KUMPIGA NGUMI YA USO RUBANI WA NDEGE


    Abiria mwanamke mmoja ameondolewa kutoka kwenye ndege na kukamatwa baada ya kumpiga ngumi ya usoni rubani wa ndege.

    Tukio hilo lisilo la kawaida limetokea kwenye ndege ya asyJet iliyokuwa ikitokea Jijini Manchester kwenda Paphos nchini Cyprus.

    Polisi walilazimika kuitwa kwenye ndege hiyo kumuondoa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 25, kwa tabia zake za ukorofi.

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANAMKE AKAMATWA KWA KOSA LA KUMPIGA NGUMI YA USO RUBANI WA NDEGE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top