https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA, LONDON


    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kulia) akishiriki katika Mazungumzo Rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano kuhusu mapmbano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi Lancster House, London, nchini Uingereza Mei 12, 2016. Majaliwa alimwkilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA, LONDON Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top