https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    NICK MINAJ KAJIBU HAPA NANI ANAMCHAGUA KATI YA MEEK MILL NA DRAKE.


    Rapper wa kike kutokea Young Money Nick Minaj, alijikuta katika wakati mgumu katika uchaguzi kuwa aendelea kuwasiliana na rapper mwenzie wa Young Money Drake ambaye ni hasimu wa mpenzi wake Meek Mill, au asitishe ili kuokoa mahaba yake.
    Mtandao wa Hollywood Life umeripoti kuwa, Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money.
    Taarifa ikufikie kuwa wawili hawa hawana mawasiliano toka mwezi June mwaka jana.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: NICK MINAJ KAJIBU HAPA NANI ANAMCHAGUA KATI YA MEEK MILL NA DRAKE. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top