PICHA 4: BOSS WA VODACOM ALIVYOSHUHUDIA PAMBANO LA SIMBA VS AZAM
.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, aliyekuwa
mgeni rasmi wakati wa mchezo wa Azam FC na Simba akisalimia na
mshambuliaji wa timu ya Simba, HamisKiiza kabla ya kuanza kwa mchezo wa
LigiKuu ya Vodacom Tanzania baraMechi ya Simba na Azam FC yashuhudiwa na mkurugenzi mtendaji wa
Vodacom Tanzania Ian Ferrao, wakiwa ndiyo wadhamini wakuu wa ligi.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (watatukushoto) ambaye
alikuwa mgeni rasmi wakati wa mchezo wa Azam na Simba akiongozwa na
Mtendaji mkuu wa timu ya Azam, Saad Kawemba kwenda kukagua timu hizo,
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, uliofanyika
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa mjana, timu hizo zilitoka
sare ya bila kufunganaMgeni
rasmi katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Azam FC
na Simba, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao
akisalimiana na nahodha wa timu ya Azam FC, John Boko, kabla ya kuuanza
kwa mtanange huo timu hizo zilizotoka sare bila ya kufungana kwenye
uwanja waTaifa jijini Dar es SalaamMkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, aliyekuwa mgeni rasmi
wakati wa mchezo wa Ligi Kuuya Vodacom Tanzania bara kati ya timu Azam
na Simba akisalimiana na mlinda mlango wa timu ya Simba Vicent
Mgeni
rasmi katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Azam FC
na Simba jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao,
akiongozwa na msimamizi wa mechihiyo, Maiko Mbundara mara baada ya
kumaliza kukagua timu hizo
0 comments:
Post a Comment