Picha za kutisha za mashambulizi ya angani yaliyofanya na Urusi jana kwenye kambi ya Kamouna kaskazini mwa mkoa wa Idlib, nchini Syria na kuuwa watu wapatao 28.
Mtoto aliyejeruhiwa akiwa ameletwa hospitali kwa matibabu
Majeruhi mtu mzima akiwa amekaa kwenye kiti na mtoto amelala chini hospitali
0 comments:
Post a Comment