https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS BARACK OBAMA AMEFANYA ZIARA YA KIHISTORIA KATIKA MJI WA HIROSHIMA


    Rais Barack Obama wa Marekani amefanya ziara leo katika mji wa Hiroshima, mji ambao Marekani ilidondosha bomu la nyuklia.

    Rais Obama amesema kumbukumbu za tukio hilo tarehe 6 Agosti mwaka 1945 kamwe hazipaswi kutoweka tena.

    Rais Obama amepata fursa ya kuongea na manusura kadhaa, hata hivyo hakuomba msamaha kwa nchi kudondosha bomu hilo.

    Watu wapatao 140,000 walikufa Hiroshima na wengine 74,000 siku tatu baadae kwa bomu lingine la nyuklia lililoangushwa mjini Nagasaki.
       Rais Barack Obama akimkumbatia mmoja ya mtu aliyenusurika na shambulizi la Hiroshima
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAIS BARACK OBAMA AMEFANYA ZIARA YA KIHISTORIA KATIKA MJI WA HIROSHIMA Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top