https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TAZAMA PICHA ZA MALI ANAZO MILIKI BILIONEA DONALD TRUMP WA MAREKANI

    Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi, usishangae ikaishie anaingia white house.

    Mwanasiasa huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na ana utajiri wa unaokadiriwa kufika  Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june 2015. 
    1
    Enzi za ujana wake Donald 
    Donald Trump alianza kufanya kazi kwenye kampuni ya baba yake na akanza kupiga mpaka deal kubwa ukitaka kuufahamu zaidi utajiri wa mwanasiasa huyu na billionare angalia picha hizi hapa chini.

    2
    Akionekana na helkopita yake mwenyewe
    3
    Hii ni moja ya Uwanja wake wa Gofu uliopo Washington DC
    5
    Ndege yake aina ya Boeing 727-23
    6
    muonekano wa ndege kwa ndani
    7
    .
    8
    .
    9
    .
    10
    .
    11
    Donald Trump na Mkewe Melania Knauss Trump
    12
    Mjengo wa Donald Trump
    13
    Muonekano wa Ndani wa mjengo wa Trump
    14
    .
    15
    Hili ni eneo lake jingine la kuishi, Palm beach Florida
    16
    Hili ni eneo la Swimming pool kwenye nymba yake ya kuishi
    17
    hapa ni nyumba ya zamani ya Trump
    18
    Huu ni mwonekano wa ndani wa nymba ya Trump ya zamani
    19
    Ukumbi wa Cinema kwenye mjengo huo 
    20
    Unaweza ukaangalia moja muonekano wa Dining room kwenye mjengo wake huo wa zamani
    24
    25
    .
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TAZAMA PICHA ZA MALI ANAZO MILIKI BILIONEA DONALD TRUMP WA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top