Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe
la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir
Haroub 'Cannavaro' jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC uliomalizika kwa sare ya 2-2
0 comments:
Post a Comment