https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JK AKUTANA NA BALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI CHARLES STITH LEO


     Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Ofisini kwake,  Balozi wa zamani wa Marekani hapa nchini Tanzania, Balozi Charles Stith, alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dar es Salaam, leo Juni 3, 2016.
    Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Ofisini kwake,  Balozi wa zamani wa Marekani hapa nchini Tanzania, Balozi Charles Stith, alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dar es Salaam, leo Juni 3, 2016.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JK AKUTANA NA BALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI CHARLES STITH LEO Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top