https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    PICHA 6: Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

    Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na amesema ameichoka.
    Ndege hii yenye vifaa vilivyotengenezwa kwa Dhahabu sehemu ya ndani yenye uwezo wa kubeba abiria 12 na ina vifaa vya dhahabu sehemu tofautitofauti kama sehemu  za kuwekekea glasi, sinki la kunawia mikono lililopo kwenye jiko la ndege hiyo na mapambo mengine ya dhahabu ambayo yamepamba ndani ya ndege hiyo.
    Billionea huyo hakuwa tayari kutaja bei kamili ya ndege hiyo aliyoinunua lakini alisikika akisema haya….>>>> ni kitu kizuri kuwa na pesa
    flo
    floyd
    floydz
    fo
    fooool
    fff

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: PICHA 6: Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top