Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Meza kuu
Wakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi, Emmanuel Ikazoboh (kulia), akiendesha Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa Ecobank Group, jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa mkutano huo wa 27 wa mwaka wa Ecobank, wakifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Dar es Salaam

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano cha Ecobank Group, akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari, wakati wakuu wa benki hiyo, walipokuwa wakizungumza
nao jijini leo.
Mkutano wa waandishi wa habari na wakuu wa Ecobank Group, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. mara baada ya kumalizika mkutano mkuu wa mwaka wa benki hiyo.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Ecobank Group, Albert Essien akielezea jambo wakati
alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo.
Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Emmanuel Ikazoboh na kushoto
ni Mkurugenzi Mkuu wa Fedha, Laurence do Rego.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Montage waandaaji wa mkutano huo, wakijadiliana jambo na
Meneja Uhusiano wa Ecobank tawi la Tanzania, wakati wa mkutano huo
jijini.
Picha zote na Kassim Mbarouk-ww.bayana.blogspot. com)