Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .
|
Mwenyekiti
wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa
Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo
walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya
Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa
Kilimanjaro ,Helga Mchomu .
|
Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo ,wakimsikiliza mstahiki Meya,Jafary Michael (hayuko pichani).
|
Msatahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkuta huo.
|
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.
|
Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti
wa Chadema taifa ,Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya
Railway mjini Moshi.
|
Mwenyekiti
wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi
waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya
Railway mjini Moshi.
|
Mbowe akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano huo .
|
Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi waliojirtokeza katika mkutano huo.
|
Mbowe
akisindikizwa na wananchi wakati akiondoka katika iwaja ya Railway. Na
Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
|