Mchezo wa kujiandaa na msimu mpya baina wapinzani wa jadi Manchester United na Manchester City nchini China umehairishwa kutokana na uwanja kuwa katika hali mbaya.
Dimba katika uwanja wa Kiota cha Ndege Jijini Beijing, limeelezewa kuwa ni baya na kocha wa United Jose Mourinho, baada ya kuathiriwa na mvua kubwa.
0 comments:
Post a Comment