RAIS NA MWENYEKITI WA CCM MH MAGUFULI AKUTANA NA SEKRETARI YA CCM
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, leo.
Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Kushoto ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa
KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, leo. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na na kshoto baadhi yao ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa
KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Picha zote na Bashir Nkoromo)
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyesimama) akitoa maneno ya
utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli
kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makamo Makuu ya CCM mjini
Dodoma leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa
CCM, Philip Mangula alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na
Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa NEC, Uchumi na
Fedha Zakia Hamdan Meghji alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo,
kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Msemaji wa CCM,
Christopher Ole Sendeka, alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza
na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana naKatibu Mkuu wa Jumuia ya
Wazazi, Seif Shaban Nasoro alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo,
kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa UWT,
Amina Makilagi alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe
wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu UVCCM,
Shaka Hamdu Shaka alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na
Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa CCM wa
Shirikisho, Siraji Madebe alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza
na Wajumbe wa Sekretarieti
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti,
Anamringi Macha alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na
Wajumbe wa Sekretarieti
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa CCM, Rais
Dk. John Magufuli baada ya Mwenyekiti kuwasili Makao Makuu ya CCM, leo.
Kushoto ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Wapili kushoto ni
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula PICHA ZOTE NA BASHIR
NKOROMO
0 comments:
Post a Comment