Kaimu
Mkurugenzi, Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Shanes Nungu
(katikati), akihutubia wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha
Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania COTWU (T),
Kanda ya Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa
chama hicho, Mussa Mwakalinga na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Dar
es Salaam, George Faustine.
Wanawake waliochaguliwa kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanawake wajumbe wa chama hicho Kanda ya Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mkutano huo.
Vigogo
wa chama hicho wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa mkutano huo. Kutoka
kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Dar es Salaam, George
Faustine, Katibu wa chama hicho Kanda ya Dar es Salaam, Elisa Luvigo na
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Kanda ya Dar es Salaam, Mussa
Mwakalinga.
Baadhi
ya wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi
Tanzania COTWU (T), Kanda ya Dar es Salaam wakiimba wimbo wa mshikamano
katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaam leo
asubuhi.
Wajumbe wakionesha mshikamano wao wakati wakiimba wimbo maalumu wa mshikamano.
Makatibu
wa matawi wa chama hicho wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi,
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Tanzania (CMA),
Shanes Nungu (wa tatu kushoto).
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)


0 comments:
Post a Comment