Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Mhandisi Steven Mlote(kushoto)akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI NACTE: Limevifutia usajili vyuo vitano nchini, huku vingine 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na vyuo vipatavyo 175 vyapewa Notisi ya kushushwa hadhi.


0 comments:
Post a Comment