Leo September 22 2016, Diamond Platnumz amekuwa akipost videos za mashabiki wake wakiimba hit yake mpya ya ‘Salome’, amezikamata tena headlines kwa kupost video ya Wema Sepetu akiimbia wimbo huo na kuandika caption hii
>>”Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana#SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO…..Shukran sana @vodacomtanzaniakwa intanet yenye kasi Zaidi inayoniwezesha kuwapa habari Mashabiki zangu Mara kwa Mara…#VodacomKaziNiKwako#VodacomHapaKasitu”
0 comments:
Post a Comment