Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo
kutoka kwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame
(kushoto) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo
katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,(wa kulia)
katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo.
{Picha zote na Ikulu}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo
kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha watayarishaji wa Gazeti la Zanzibar leo
Nd,Rabia Bakari (katikati) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika
Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo
Mjini Unguja,(kulia) Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar leo
Nd,Ramadhan Makame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya ghafla ya kutambelea katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo,Nd Omar Hassan Omar akitoa maelezo kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata
maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ramadhan
Makame (kushoto) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo
iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini
Unguja,(wa kulia)
Picha ya pamoja
0 comments:
Post a Comment