HALI isiyo ya kawaida, mtandao maarufu Duniani unaomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg wa Facebook umetoa ujumbe kimakosa unaoonyesha kuwa watu wengi walikuwa wamekufa.
Watumiaji wa mtandao huo walilazimika kuandika tena kuwahakikishia marafiki na familia zao kuwa bado wako hai.
Ujumbe huo ulianza kutumiwa kwenye mtandao wa Facebook mwaka 2015, baada kesi ambapo familia zilitaka kutumia akaunti za wapendwa wao waliokuwa wamekufa.



0 comments:
Post a Comment