Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akisalimiana na baadhi ya wazee wanaoishi katika kambi ya kulelea
wazee ya Rasi Bula mkoani Lindi wakati wa ziara yake kujionea hali
halisi ya kituo hicho.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akiwa katika ziara ya kuangalia mazingira ya Shule ya kulelea watu
wenye ulemavu ya Nyangao mkoani Lindi kulia kwake ni Mwalimu Mkuu wa
shule hiyo Bw.Richard Mponda.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya msingi ya Nyangao
alipotembelea kuona hali halisi ya mazingira ya wanafunzi wenye wahitaji
maalum Desemba 15, 2016.
Mwalimu
wa wasiona shule ya nyangao Bw.Nassoro Kambona akielezea changamoto
wanazokabiliana nazo kazini kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu
wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (hayupo pichani) wakati wa ziara
yake shuleni hapo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akijibu hoja za wazee wenye ukoma na mahitaji maalum katika kambi
yao ya Nandanga wilayani ruangwa mkoa wa Lindi alipofanya ziara yake
Desemba 15, 2016
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah
Possi akitoa maagizo kwa baadhi ya watendaji wa Serikali wakati ya ziara
yake Wilayani Lindi alipotembelea shule na Vituo vya kulelea watu wenye
mahitaji maalum.
Mkuu
wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akizungumza wakati wa kikao cha
kumkribisha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Dkt. Abdallah Possi wakati wa ziara yake Mkoani hapo Desemba 15, 2016.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wasioona Lindi Bw.Musa Bakari akizungumza changamoto zao
kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi wakati wa ziara yake mkoani Lindi Desemba15, 2016
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 comments:
Post a Comment