Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipowasili katika ufunguzi wa msikiti,
Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B"
Mkoa wa kaskazini Unguja leo,uliojengwa kwa usimamizi wa Bw,Yakoub
Othman mwakilishi wa Kampuni ya Al-Buwardy Tanzania
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid
Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub Othman wakati alipowasili katika ufunguzi wa
Msikiti huo uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni
Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Msikiti Masjid Muhammad
(S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni
Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini Unguja leo (kushoto) Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe,Balozi
Seif Ali Iddi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akikata Utepe fkama ni ishara ya ufunguzi wa Msikiti Masjid
Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni
Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo chini ya
usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) pia wakiwepo (kulia} Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman (kushoto)
Sheikh Othman Maalim alipokuwa akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo,ambapo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa)
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Fujoni Mzambarauni na Vijiji jirani wakiwa ndani ya Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao umejengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa kampuni hiyo
Sheikh
Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam (mbele)
akiwaongoza Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa baada ya
Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni uliofuguliwa
rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) ambao umejengwa kwa ufadhili Kampuni ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa kampuni hapa Nchini
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada
ya swala ya Ijumaa leo alipoufungua Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini
Unguja,uliojengwa chini ya usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) kwa ufadhili Kampuni ya Al-Buwardy
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Bw.Samir Ayoub miongoni mwa familia ya
Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub Othman wakati
alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na Kampuni ya
Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa
kaskazini Unguja leo. Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment