AMBER ROSE ATUPIA PICHA ZAKE ZA UTUPU KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM
MREMBO kutoka nchini Marekani, Amber Rose ameamua kutupia picha zake
zinazoonyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi.
Amber
mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana katika
ukurasa wake wa Instagram na mpaka sasa zimesambaa kila kona kwenye
mitandao ya jamii.
Pichani ni pozi tofauti za staa huyo alizoachia jana Instagram.