https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Daladala ziligoma leo Arusha, ni Bodaboda tu barabarani…

    BODAWaendesha bodaboda wa Arusha leo wamejikuta kwenye jukumu la daladala kusafirisha abiria baada
    ya mgomo wa daladala uliofanywa leo maeneo ya mji huo sababu ikitajwa ni kuanzishwa kwa route mpya wanayotakiwa kuanza hivi sasa kutoka Njiro na Moshono kuelekea mjini.
    Wakazi wengi wa mji huo leo wamelazimika kutembea kwa miguu huku wengine wenye uwezo wakitumia usafiri wa bodaboda.
    Bodaboda
    Ripota wa Blog ya Michuzi ambaye ameripoti kuhusu story hii amesema yeye pia alikuwa mmoja ya walioathirika kutokana na mgomo huo
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Daladala ziligoma leo Arusha, ni Bodaboda tu barabarani… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top