https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DOGO ALIYETUA REAL MADRID AZITOSA LIVERPOOL, ASERNAL

    24F20D2000000578-2921751-image-a-19_1421938220323
    Martin Odegaard akipozi katika picha na jezi yake wakati alipotambulishwa  Real Madrid
    NYOTA kinda wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 16
    aliyesajiliwa kwa paundi milioni 2.3,  Martin Odegaard amethitibisha kuwa hamu ya kufanya kazi na Zinedine Zidane ndio imemfanya azipotezee timu za ligi kuu England na kujiunga na mabingwa hao wa Ulaya.
    Kinda huyo wa Norwegian ambaye alitambulishwa katika uwanja wa klabu ya Real Madrid, atakuwa anapokea mshahara  wa paundi elfu 40,000 kwa wiki katika msimu wake wa kwanza, lakini utaongezeka kutokana na Bonasi.
    Amechagua Real Madrid licha ya kuzitembelea klabu za Liverpool na Arsenal wakati alipokuwa katika ziara ya kuziona timu kubwa barani ulaya.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DOGO ALIYETUA REAL MADRID AZITOSA LIVERPOOL, ASERNAL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top